Chuo Kinatoa kozi zifuatazo
DIPLOMA in
- Journalism with Tourism
- Community Development
- Law
- Public Relations and Advertising
ADVANCED CERTIFICATE in
- Journalism with Tourism
- Community Development
- Law
- Video Production
- Information Technology (IT)
- Public Relations and Advertising
BASIC CERTIFICATE
- Journalism with Tourism
- Community Development
- Information Technology (IT)
- Public Relations and Advertising
Kozi za Basic Computer Application na Driving ni Offer kwa Wanafunzi wote wanaojiunga na Chuo chetu
....................###########................
SIFA ZA MUOMBAJI
1: kwa wale wenye alama D zinazopungua nne katika matokeo yao ya kidato cha nne. watajiunga na chuo kwa kupitia kozi fupi ya miezi mitatu ili waweze kufuzu kujiunga na level ya Advanced Certificate.
2: Ili Kujiunga na kozi za level ya Advanced Certificate, Muombaji atatakiwa kuwa amehitimu kidato cha nne na awe na alama D zisizopungua nne katika masomo yake
3: Ili kujiunga na kozi za Level ya Diploma, Mwombaji atatakiwa kuwa amehitimu kidato cha sita na awe na alama E isiyopungua moja. ama awe ni mhitimu wa Level ya Advanced Certificate mwenye ufaulu kutoka chuo kinachotambuliwa na serikari.