UTANGULIZI WA CHUO

          Chuo cha Uandishi wa habari, the Royal College of Tanzania Mbeya Branch. kilianzishwa kwa lengo la kuweza kupunguza umasikini miongoni mwa watanzania kwa njia ya kuwapatia taaruma itakayowawezesha kupata ajira kwa urahisi, kujiajiri wenyeywe ama kuendelea na elimu yao ya juu.
         Mtaala wetu unazingatio sana Elimu kwa vitendo kama njia bora ya kumjenga mwanafunzi kitaaruma. Chuo kimefanikiwa kutoa wanafunzi wengi amabao wengi wao wameajiriwa maeneo mbali mbali ya kazi na wengine wamefanikiwa kujiunga na vyuo vikuu.
        tunakaribisha watu wa aina zote kupata elimu katika chuo chetu kwani tunaamini elimu ni haki ya kila mtanzania bila kujari historia yake ya kitaaruma ya nyuma kwani tunaamini tunaweza kumbadilisha na kumjenga upya na akawa bora.
       Ada zetu zinazingatia sana hari halisi ya maisha ya mtanzani wa kawaida na ulipaji wake ni wa awamu ili mradi tu kuweza kumuwezesha kila mtanzania kupata elimu.

KARIBU SANA TUKUPATIE ELIMU, UNUFAIKE NA MAISHA YAKO