BLOG YETU

LOYAL HABARI BLOG 
Ni Blog inayotoa taarifa za matukio mbali mbali yanayotokea kila siku katika jammii zetu ambazo waandishi wengine wameshindwa kuzifikia.

Loyal Habari Blog inamilikiwa na kuendeshwa na wanafunzi wa Chuo Cha Habari na Utalii, Royal College of Tanzania Mbeya branch kama njia ya mafunzo na kujinoa katika tadhnia ya habari. Timu hii inajumuisha wanafunzi waliopo  chuoni kwa sasa na wengine ambao wamekwisha hitimu na wanafanya kazi katika vyombo vya habari mbali mbali hapa nchini.

Ili kuweza kuzifikisha habari zetu kwa umati mkubwa, Team ya Blog hii pia Inaendesha Facebook page iitwayoLoyal Habari amabako matukio yote yanayolipotiwa katika Blog Hii yanapatikana pia. 
Hivo kupata habari zetu mara punde zinaporushwa hewani waaweza ku LIKE facebook page yetu.

Kwa waandishi wengine wanaopenda kujitolea na kujiunga na team ya blog hii waweza wasiliana nasi kwa simu na: +255 758 896 600, ama email: loyalhabari@gmail.com